niaje marafiki! Nimekua nikipita na kusoma comments za watu bt since now nimeamua kua active member wa chit chat.
Karibu CC...kama una tatizo lolote la kifedha usisite kuniandikia barua...
niaje marafiki! Nimekua nikipita na kusoma comments za watu bt since now nimeamua kua active member wa chit chat.
Hapana kwa kiingereza tunasema no cavity!
Mimi nina wasiwasi wanafuata warembo humu.na itakula kwao
Umeona eeh! Kula majukwaa yao hawana vimwana wazuri kama huku nini?
Wana upungufu wa mabinti majukwaani kwao

Alijifungua mtoto wa kike december 25, so sa hv yupo maternity leave mpaka march
Afu naskia umechoka mbaya dogo, afu eti ni kweli safari ya tanga imeanza kutoa uthibitisho wa kazi ya King Mswati VII Arushaone kwa Madame B ??? ni kweli kwamba bajeti ya ndimu na udongo wa pemba imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 170 ?? , je ni kweli kuwa harufu ya samaki wabichi imepigwa marufuku nyumbani kwako, lete majibu

Mi nakuomba urudi toka huko mafichoni kwa sababu ukichelewa utakuta kijana wako wa arusha anaozea segadance aka segerea