cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 #1 Habari zenu wana jf, Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4. Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Habari zenu wana jf, Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4. Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Kapyungu A JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 3,499 Reaction score 3,167 Nov 17, 2016 #2 Ha ha karibu kwenye familia yetu
J jitambue Tz Member Joined Sep 2, 2016 Posts 16 Reaction score 1 Nov 17, 2016 #3 Karibu pita kakae kuleeeeee...Ehe lete jipya
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,244 Nov 17, 2016 #5 Karibu!
Inartia JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 1,284 Reaction score 1,305 Nov 17, 2016 #6 Karibu kiongoz
MEXICANA JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 1,785 Reaction score 2,061 Nov 17, 2016 #7 mambo ya FB Tafadhali huku mwiko
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,846 Nov 17, 2016 #8 Karibu mambo ya Facebook hatutaki kabisa kuandika Sasa mnatumia xaxa Na mambo kama hayo
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #10 Kapyungu A said: Ha ha karibu kwenye familia yetu Click to expand... Asante Kapyungu A.
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #11 jitambue Tz said: Karibu pita kakae kuleeeeee...Ehe lete jipya Click to expand... Nashukuru...kwa sasa mi mgeni, sina jipya.
jitambue Tz said: Karibu pita kakae kuleeeeee...Ehe lete jipya Click to expand... Nashukuru...kwa sasa mi mgeni, sina jipya.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,106 Nov 17, 2016 #12 subiri na vaa
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #13 Inartia said: Karibu kiongoz Click to expand... Shukrani sana mkuu
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #14 miss chagga said: subiri na vaa Click to expand... Ha ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya!
miss chagga said: subiri na vaa Click to expand... Ha ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,106 Nov 17, 2016 #15 cDNA said: Ha ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya! Click to expand... we mdogo utapofuka macho
cDNA said: Ha ha haa...haya miss chaga, ukimaliza kuvaa unijuze niingie. Lakini inawezekana sote jinsia moja, so hata nikiingia wakati unavaa si vibaya! Click to expand... we mdogo utapofuka macho
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #16 stacia said: Karibuu Click to expand... Nimekaribiaa ahsante
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #17 mjukuum said: Karibu mambo ya Facebook hatutaki kabisa kuandika Sasa mnatumia xaxa Na mambo kama hayo Click to expand... Asante sana...kweli hii jf na c fb!
mjukuum said: Karibu mambo ya Facebook hatutaki kabisa kuandika Sasa mnatumia xaxa Na mambo kama hayo Click to expand... Asante sana...kweli hii jf na c fb!
cDNA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 353 Reaction score 351 Nov 17, 2016 Thread starter #18 miss chagga said: we mdogo utapofuka macho Click to expand... Mbona sikupofuka wakati nilipozaliwa! ha ha haaa...
miss chagga said: we mdogo utapofuka macho Click to expand... Mbona sikupofuka wakati nilipozaliwa! ha ha haaa...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,884 Reaction score 845,775 Nov 17, 2016 #19 cDNA said: Habari zenu wana jf, Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4. Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu. Click to expand... Karibu sana
cDNA said: Habari zenu wana jf, Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4. Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu. Click to expand... Karibu sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,884 Reaction score 845,775 Nov 17, 2016 #20 miss chagga said: subiri na vaa Click to expand... Nini...pepeta?