A Aswel Senior Member Joined May 1, 2012 Posts 114 Reaction score 35 May 1, 2012 #1 Wadau nimekuwa nikiifuatilia sana hii site toka kitambo nikiwa kama mtazamaji, lkn leo nimeona na mm niungane na ninyi ndugu zangu katka kuhabarishana. Naomba ushirikiano wenu wakuu.
Wadau nimekuwa nikiifuatilia sana hii site toka kitambo nikiwa kama mtazamaji, lkn leo nimeona na mm niungane na ninyi ndugu zangu katka kuhabarishana. Naomba ushirikiano wenu wakuu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,391 Reaction score 2,984 May 1, 2012 #2 Karibu mkubwa.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,880 Reaction score 13,872 May 2, 2012 #3 Karibu sana JF mkuu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,526 Reaction score 76,459 May 2, 2012 #4 Karibu sana!