hodi wazee wa jf naombeni msaada!

kwa suluhu la tatizo lako nenda kawaone viongozi wako wa dini wao watakupa msaada.
 
stori za kutunga haziishi jf




 
wee bwana njoo nikuonyeshe wapi unaweza pata tigo bila wasiwasi....upo mkoa gani kwani?
 
Sasa nashindwa kuelewa wewe unajifanya msomi sijui umesoma canada or whatever the hell unashindwa kutofautisha kwamba afrika na huko uliko kuna cultural differences eenhh..tatizo ni kwamba wabongo tunasumbuliwa na uprimitive mixa ushamba flani especially mtu akibahatika kwenda nje unakuta anajifanya kama vile kazoea sana maisha ya kule nkt ukipima miaka aliyokaa nje na bongo bongo kakaa miaka mingi zaid je kama una dada dada ako anatoa tigo? Enh daaah onesha kama umeelimika kwa kubadilika kutokana na mazingira kama huko uliko ulikua unapiga tigo huku ni dizain ya offence..flan hivi...over...!!!
 
duuu!! Mpenda tigo Usipo jizuia maisha yako yatakua hvhv daima
 
pumbavuuu we wakati unaanza kula tigo ulituomba ashauri?sasaaji ya shingo yamekufika ndio unaomba ushauri nenda kwa mcanada wako muendelee kuikaribia jehanam nyambafu tatizo makaka zetu wa kitz ulimbukeni mmezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…