Hodi waungwana

Kintiku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
617
Reaction score
322
Nimekuja hapa kuchangia masuala ya muhimu tu, na kuwaumbua wanaoposti upupu na mambo yasiyo na tija. Kazi moja tu- kukata issues

Tuko pamoja ndugu zangu

Asante,
 
Karibu sana mkuu jamvini!!!
 
Nimekuja hapa kuchangia masuala ya muhimu tu, na kuwaumbua wanaoposti upupu na mambo yasiyo na tija. Kazi moja tu- kukata issues

Tuko pamoja ndugu zangu

Asante,

karibu,ila polepole mmmmmmmmmh
 
Sasa ulikotoka wamekwambia uingie kwa mkwala au :twitch: !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…