Kweli sasa najihisi nipo nyumbani,
ahsante sana kwa chai!
Iman na ukarimu ndio hulka yetu waungwana ambayo tumerithi kutoka kwa wazee wetu,
hvyo
TUIDUMISHE idumu daima nasi!
karibu saaana bones! wapi bone marrow, masozi, mishipa, stake na wengineo! hapa full kujiachia! napenda nikutambulishe kwa DA, rose1980(the choclate of my heart), lizzy, na suzzy bila kumsahau rutashubanyuma a.k.a wo omuka.