Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Daah mkuu najiona si mjuzi wa vitu hivyo labda tuwaulize wadau wanaweza kukupa msaada huo.Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.
Daah mkuu najiona si mjuzi wa vitu hivyo labda tuwaulize wadau wanaweza kukupa msaada huo.Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.
Aiseeh yaan kajua kunikomesha![]()

pambana mwenzio anataka ajue kuweka statuspambana mwenzio anataka ajue kuweka status




Ukarimu wangu umeniponza


hata me naona, ila ivi ndo inavotakiwa kuwa wakarimuWakuu ninaomba muongozo wenu
ID mpya ni Idea?? Mbona sikusomiNdo umefika Leo, tayari ushawaza kuchange jina?
Hongera kwa kuja na ID mpya!
Karibu
Labda inaweza ikawa hakunaDaah mkuu najiona si mjuzi wa vitu hivyo labda tuwaulize wadau wanaweza kukupa msaada huo.
Karibu sana. ID ni salamu ya asubuhi kwa wana forum wenzakoID ndo kitu gani?
Obheja sana..Naiandikia wapi sasa?Karibu sana. ID ni salamu ya asubuhi kwa wana forum wenzako
Hapa kama ulivoandika haya manenoObheja sana..Naiandikia wapi sasa?
Nyanebhe gashi uli yashika chene hangiObheja kulumba Ngwanike wane![]()

Unaiandikia hapa hapa ..Obheja sana..Naiandikia wapi sasa?
Wakondya wasu... Uko poa mremboKaribu sana
Ukhuty namimi nitafsilie basi
Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.
wabeija sana