Hodi wanajamvi.

Hodi wanajamvi.

Mangandula

Senior Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
184
Reaction score
38
Habarini wanajamvi, nilikuwa na hamu sana ya kujumuika nanyi sasa ndiyo nimetia magulu humu ndani naomba kujumuika nanyi.
 
Karibu sana, tulikuwa tunakungoja wewe JF ikuwe zaidi...!
 
Umechelewa kidogo tu, last week wageni walikuwa wanagaiwa Juice na kashata.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom