ndugu nimejifunza mengi na kupata kujua mengi mara baada ya chama kilichopo madarakan kutumia nguvu nyingi kwa chadema.kwa akili ya kawaida why chademaa!????ccm imepewa dhamana kuwa madarakan timiza ahadi mbona hutapata shida kwenye chaguzi sasa nionacho mie na akili zangu fupi kwenye siasa na wengine niwajuao ccm wanajua ahadi nyingi zilikuwa hewa waliahid ilihali walijua hazitekelezeki tutakuwa wajinga hadi lini? jamani mnakula na vipofu hadi kutushika mkono??badala ya kuhangaika na wananchi waliowachagua wanahangaika na chadema ndio maana tuna imani kwa hili tuiunge hiyo chadema mkono kwan point hapa naona ccm inaishi kwa mazoea na kamwe kwa hatua hii mabadiliko hayawez kutokea.najua vipo vyama vingine ila nimeichagua chadema.asante kwa mawazo