Hodi vatwa(watemi)

Hodi vatwa(watemi)

Maseto

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,087
Reaction score
792
"....Sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuiondoa ccm madarakani.Tunataka dunia ituelewe kwamba tuna kazi moja tu,ya kuiondoa..." KWA MKWARA HUU,NINA HAKIKA MMENIKARIBISHA,HAKUNA NAMNA.
 
Karibu sana mpinanaji mm,ww na wengio ndo tutaleta mabadiliko ktk nchi hii.ALUTA CONTINUE CDM
 
karibu sana mpinanaji mm,ww na wengio ndo tutaleta mabadiliko ktk nchi hii.aluta continue cdm

karibu mkuu,sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuipiga ccm 2015 na kuikomboa nchi hii kwenda kwenye uhuru wa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom