Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nasi tunakupenda pia!nawapenda sana
Endelea kutupenda hivyohivyo ila angalia bibie na pia tunakuomba uangalie angalizo hili:Usijichakachue na kuutaka weupe hauna mpango wowote,endelea kuwa blaki kama kawa ,kama weupe ni mali ubuyu usingepakwa rangi,mbona wao hawajichakachui na kuwa weusi?nawapenda sana
Endelea kutupenda hivyohivyo ila angalia bibie na pia tunakuomba uangalie angalizo hili:Usijichakachue na kuutaka weupe hauna mpango wowote,endelea kuwa blaki kama kawa ,kama weupe ni mali ubuyu usingepakwa rangi,mbona wao hawajichakachui na kuwa weusi?
Nasi tunakupenda pia!
Karibu ukaribie upewe jamvi ukalie na kitako utulie
Karib sana blaki woman, hakika hautojutia kujiunga kwako.