Dr. Love Pimbi
Member
- Jul 13, 2011
- 48
- 14
Karibu karibu. Mbona mabibi iko kwa capital letters? Au ndio tabia kama username yako...
Gender Balance ndugu yangu hawa Wenzetu wako Sensitive sana inabidi wapewe Praiorite kila Sehemu. Ila Asante kwa Ukaribisho wako
Ume-assume haraka kuwa mimi ni mwanaume... sisemi kama umekosea ila hapa JF wengine gender zetu hazijulikani so uwe makini. Karibu tena
Ha ha ha inaonekana wewe ni Mdadisi sana KAMA jina lako. Asante sana kwa Kunirekebisha hapo nilipokosea
Shalom
Kwa Upendo Mkubwa naomba kuwa Mwanajamii Mwenzeni, Mnipokee mnitunze na Tushirikiane Pamoja
Asanteni sana