Asante sana mkuu Chatu dume , ila shida bado ni namna ya kuiweka avatar ,,nimejaribu mara kadhaa lakini bado sijafanikiwa ,Naamini kwa kua mkuu wewe ni Senior Member hii kitu kwako inaweza isiwe tatizo.Natanguliza shukrani za dhati kwa kunipokea.Karibu sana mkuu
Asante sana mkuu Chatu dume , ila shida bado ni namna ya kuiweka avatar ,,nimejaribu mara kadhaa lakini bado sijafanikiwa ,Naamini kwa kua mkuu wewe ni Senior Member hii kitu kwako inaweza isiwe tatizo.Natanguliza shukrani za dhati kwa kunipokea.
Hahahahahaa!!! Dah!!nitaishi kulingana na mazingira yanavyonielekeza.nimeipenda karibu yako iliyojaa mifano na tahadhari ya kutosha mkuu.one had a dream.....he was eating a delicious bread.........waking up find himself had done a good portion of matress.... bla...bla...bla......! MAANA YANGU NI KWAMBA...UNAWEZA UKADHANI UMEINGIA KWENYE MKUTANO WA MA-PROFESA KUMBE UMEINGIA CHUMBA CHA VICHAA.....what will you do?
Nakushukuru sana mkuu ....nimefanikiwa,Ubarikiwe .