Nimeingia kwenye jamii forum kwenye kipindi kitamu ambapo CCM inagalagazwa kama mbayuwayu.........washikaji wamemwachia JK limfie mkononi? Anyway' Hongera sana Chadema, mmeonyesha njia,mkawakabe koo vizuri katika utendaji tuone mabadiliko. Viva Tanzania