Elongo Junior Member Joined Apr 21, 2018 Posts 55 Reaction score 30 Apr 21, 2018 #1 Hodi hodi naingia, jamvini pamoja nanyi. Hoja zenu kuchangia, uzembe katu sifanyi. Kwa ugeni naingia, makosa kwenu sifanyi. Nipate ndani ingia, kuchati pamoja nanyi.
Hodi hodi naingia, jamvini pamoja nanyi. Hoja zenu kuchangia, uzembe katu sifanyi. Kwa ugeni naingia, makosa kwenu sifanyi. Nipate ndani ingia, kuchati pamoja nanyi.
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,465 Reaction score 67,478 Apr 21, 2018 #2 Karibu sana mgeni Naona umekuja na mashahiri.
Elongo Junior Member Joined Apr 21, 2018 Posts 55 Reaction score 30 Apr 23, 2018 Thread starter #3 ledada said: Karibu sana mgeni Naona umekuja na mashahiri. Click to expand... Asante ndugu kwa kunifungulia mlango
ledada said: Karibu sana mgeni Naona umekuja na mashahiri. Click to expand... Asante ndugu kwa kunifungulia mlango
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,821 Reaction score 13,780 Apr 24, 2018 #4 Karibu sana JF..
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,821 Reaction score 13,780 Apr 24, 2018 #5 Elongo Junior said: Hodi hodi naingia, jamvini pamoja nanyi. Hoja zenu kuchangia, uzembe katu sifanyi. Kwa ugeni naingia, makosa kwenu sifanyi. Nipate ndani ingia, kuchati pamoja nanyi. Click to expand... GHANI HIZO................
Elongo Junior said: Hodi hodi naingia, jamvini pamoja nanyi. Hoja zenu kuchangia, uzembe katu sifanyi. Kwa ugeni naingia, makosa kwenu sifanyi. Nipate ndani ingia, kuchati pamoja nanyi. Click to expand... GHANI HIZO................
Elongo Junior Member Joined Apr 21, 2018 Posts 55 Reaction score 30 Apr 29, 2018 Thread starter #6 Ulimakafu said: GHANI HIZO................ Click to expand... Ndo zenyewe Ulimakafu, Asante
Elongo Junior Member Joined Apr 21, 2018 Posts 55 Reaction score 30 Apr 29, 2018 Thread starter #7 Ulimakafu said: Karibu sana JF.. Click to expand... Asante mwenyeji Ulimakafu kwa kunikaribisha