Hahahah unatupa jiwe gizani tukaribu sana...ila nakushauli uwe na heshima kwa wakubwa na wadogo ogopa sana kuwafuata watu wenye id za kidem pm zitakupotezea muda
PM ni kama gizani tu labda uwe umezoea na mtu la sivyo utaingia chakaHahahaa amna Mkuu bado ni mchana na target imefikiwa.
We ndo mpumbavu kabisa,mtu aliyejiunga jf may 30/2015 ni new member?Wee mpuuzi kweli si unaona kabisa huyu ni member mpya?