hodi janvinia

hodi janvinia

gwakipanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2011
Posts
794
Reaction score
638
poleni na majukumu mabibi na mabwana napiga hodi katika jamvin hii rasmi baada ya kufatilia michango ya wanajamii kwa muda mrefu nimeamua kujiunga rasmi naomba ushirikiano wenu.ASANTENI
 
(Kwa sauti ya mbali) Tumeshalala...haamki mtu muda huu.Njoo kesho!
 
poleni na majukumu mabibi na mabwana napiga hodi katika jamvin hii rasmi baada ya kufatilia michango ya wanajamii kwa muda mrefu nimeamua kujiunga rasmi naomba ushirikiano wenu.ASANTENI

karibu. Kama ushamsikia mphamvu, ndo mie!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom