Hodi JamiiForums

By the way, Tandabui kulikuwa na mgogoro wa mitihani na wanafunzi, uliishaje. Who owns that health college? FBO or privatly owned by a single person. Is it credible or just magumashi looking for money!
Asante Chuakachara kwa concern yako.
Tandabui Institute of Health and Technology is not a Faith Based Org. Ni Private College Kipo accredited na NACTE na kinatambuliwa na Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Unaweza kutembelea website yetu hapa: www.tihest.org kwa info zaidi.
 
By the way, Tandabui kulikuwa na mgogoro wa mitihani na wanafunzi, uliishaje. Who owns that health college? FBO or privatly owned by a single person. Is it credible or just magumashi looking for money!

Asante Chuakachara kwa concern yako. Tandabui Institute of Health Science and Technology si Faith Based Org. Bali ni Private Instititution na kipo accredited na NACTE kimesajiriwa kwa namba REG/HAS/117 na kinatambuliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Mgogoro ulikuwa sorted. Kwa information zaidi tembelea tovuti yetu hapa:
www.tihest.org
Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom