Hodi Jamani

Hodi Jamani

lakini kuna jukwaa la utambulisho specific kwa wageni, sheria zikifuatwa inapendeza zaidi!!

btw, karibu sana mgeni...!
 
Huyu siyo mgeni haiwezekani kila mgeni afikie hili jukwaa wakati maelekezo yote ya wageni wanayo
 
nami n mgen wadau nmejaribu kujikaribisha ila n km sielewi vzr
 
mi naangalia function X in relation to probability of Y.

not more! kama haiendi.. basi nakusanya booklet!
hizo mada za function na probability nilikuwa nazipatia enzi hizo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom