excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
hizo mada za function na probability nilikuwa nazipatia enzi hizo!
aaah! achana na huko sasa.... tunapunguza ukali wa maneno mkuu!
relate na MMU sasa!!
hizo mada za function na probability nilikuwa nazipatia enzi hizo!
nami n mgen wadau nmejaribu kujikaribisha ila n km sielewi vzr
nami n mgen wadau nmejaribu kujikaribisha ila n km sielewi vzr
aaah! achana na huko sasa.... tunapunguza ukali wa maneno mkuu!
relate na MMU sasa!!
Haya karibu ingawa hukuiga hodihahah sa nlichoka kusimama c nkavuta kgogo nkakaa ila hamjachelewa sana nkaribisheni
hahahaaaa niko MMU bado. kwani wewe ni Function X au probability Y?
tumeshakutandikia RED CARPET welcome.... JF inawasaa wakutosha tunasubiri mazuri yako .....karibu sanamimi ni mgeni humu MMU.Naomba mnikaribishe.
mimi ni mgeni humu MMU.Naomba mnikaribishe.[/
leo hodi kesho utasikia natafuta mchumba.....shikamoo MMU
mimi ni mgeni humu MMU.Naomba mnikaribishe.[/
leo hodi kesho utasikia natafuta mchumba.....shikamoo MMU
huyu nae! sasa ulitaka alete topic za kikwete na mbowe hapa?
hapa ni mapenzini bana! love making zone!!!
mwache msmimi ajimwaye az mach az shi kan!