Hodi jamani

Hodi jamani

Julieth Ms

Senior Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
102
Reaction score
37
Hodi wapendwa nyote nawasalimu, naomba ushirikiano wenu humu mtandaoni.
 
Hodi wapendwa nyote nawasalimu, naomba ushirikiano wenu humu mtandaoni.
Karibu sana, ushirikiano utapata, kinachotakiwa na wewe uwe na ushirikiano na wengine na ushirikiane na wewe mwenyewe pia
 
Jamani mrembo Juli, umekuja Jf
Karibu sana, mimi naitwa Gambino. Ukiwa na shida yoyote humu usisite kuniPM


Il Gambino.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom