Hodi jaman!

Hodi jaman!

Rosely

Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Habari za saa hizi wana mmu,
Mimi ni mgen jaman napiga hodi nahitaji karibu zenu pia ushirikiano wenu.
Ahsanten
 
MMUU unakaribishwa.........hope utatupatia mengi ya jukwaa hili.
 
^^
Jamanii kumbe Rose...Da!
KARIBU NDANI
^^
 
Karibu sana JF...
Karibu sana MMU...
 
Dud,kuingia na kuingia
tu ghafla umetimba jukwaa hili la MMU?,utakuwa xpert sana ktk sekta hii ngoja nisubirie yako miee,karibuuui,feel@home
 
Back
Top Bottom