Hodi Iringa....

karibu hapa mtwivila.

ah Mtwivila huko mbali, karibu hapa jirani na msichoke.... maeneo ya Mwembetogwa ...ukifika ni-dip maana naweza kuwa bado niko huku kitanzini...... Kongosho tunaweza onana hapa miyomboni? siku ile ulinikimbia kwa mama siyovela kwenye hot chair..... au twende ccm?
 
Last edited by a moderator:
hapa kweli kuna wenyeji......
 
miami inategemea na mtu na mtu mwingine atakuambia umempeleka kwa wahehe na wabena....but kwa nyama ni poa sana
 
Nimeona Kalenga napo sio pabaya. Nakula hapa then naenda kubeba mizigo yangu nihamie hapa
 
Mbona jana nilikuwepo embalasasa sikukuona?ila usijali karibu kwetu huku mwangata maeneo ya isoka ni uswahilini lakini utazoea tu!
 
karibu sana mwang'ingo mkuu!...

nitumie namba zako kwa pm ninaahidi kukulaki
 
Iringa Ipi?Unajua ISMANI,TANANGOZI,MBALA MAZIWA NAZO NI IRINGA.Kama ni Iringa Municipal, karibu Gangilonga, twisters muhimu kwenda kupal,

Hapo mbalamaziwa ndo kituo cha kwenda malangali, kuna guest house inaitwa zimbabwe hotel kulala ni buku tatu, ha ha! Noumer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…