Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.[SUB]hello[/SUB]
[SUB]Wapendwaaa[/SUB]
Cheki jukwaa la Elimu.jamanii
Second selection mwaka huu zinatoka lini
Karibu sana mgeni ila kuwa makiniKaribu bila shaka
Jr
Karibu sana mgeni ila kuwa makini
Kaka Mshana Jr ni mlozi wa Jf
Na GENTAMYCINE ni mzee wa fiksi laana
Hahahhahhaah saw nimeelewaKaribu sana mgeni ila kuwa makini
Kaka Mshana Jr ni mlozi wa Jf
Na GENTAMYCINE ni mzee wa fiksi laana
Na mimi ni babu wa kukaribisha.Karibu sana mgeni ila kuwa makini
Kaka Mshana Jr ni mlozi wa Jf
Na GENTAMYCINE ni mzee wa fiksi laana
Second selection za chuo au nini?Nashkuru babu
Labda unawezaaa kuwa unafahamu second zinatoka lini labda
Unisaidie
Hapa bwan kaka kinywajii hakiwezii kushka kooni vzrii maan najhsi mpweke maan bdo. Nahitaji kusma maan nimekaa home mpaka nimechkka kabsapunguza spidi dogo, karibu kwanza alafu pata kinywaji.