hodi hodi

hodi hodi

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
hodi hodi wanajukwaa. naomba mnipokee nami niwe miongoni mwa wanagreat thinkers! asante
 
karibu sana jamvini kwa jina naitwa ndetichia ni kijana mcheshi sana napatikana chit chat na sport sana sana unahitaji nini mgeni..
 
karibu sana jamvini kwa jina naitwa ndetichia ni kijana mcheshi sana napatikana chit chat na sport sana sana unahitaji nini mgeni..
Ngoja na mimi nijitambulishe...
Naitwa Erickb52 napatikana jukwaa la Chit Chat na Matangazo madogo...
Karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom