Hodi Hodi wenyeji..

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,392
Reaction score
45,059
Habari zenu Great Thinkers....mimi ni mgeni humu naombeni kujiunga nanyi. Natumaini mtanikaribisha..Asanteni
 
Karibu sana jamvini..wanawake mbona mnaweza bana....
 
Habari zenu Great Thinkers....mimi ni mgeni humu naombeni kujiunga nanyi. Natumaini mtanikaribisha kwani wanawake sasa tunapata upendeleo wa hali ya juu ili kuleta uwiano kwenye Taifa letu..Asanteni
Karibu sana dada!!!!
 
Karibu sana, jamii ya K-TZ imepata uelewa mpana kuhusu maendeleo yao wenyewe yanayoletwa na kila jinsia.Usihofu tunasubiri mchango wako.
 
Habari zenu Great Thinkers....mimi ni mgeni humu naombeni kujiunga nanyi. Natumaini mtanikaribisha kwani wanawake sasa tunapata upendeleo wa hali ya juu ili kuleta uwiano kwenye Taifa letu..Asanteni
mSISUBIRI UPENDELEO!
aKIJA rais mwanamke atatupendelea wanaume...itakula kwenu!
Karibu sana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…