Unabonyeza replayWaungwana mimi ni mgeni naomba nipate maelekezo nawezaje kureply coment katika mijadala ya hapa ndani?
Asante ndugu kuna muda walikuwa wananikatalia now naona iko [emoji106]Unabonyeza replay
Karibu sana mkuu. Unamjua Maxence na Mshana Jr?Asante ndugu kuna muda walikuwa wananikatalia now naona iko [emoji106]
Bado cjapata kuwajua mkuuKaribu sana mkuu. Unamjua Maxence na Mshana Jr?