Hodi hodi wanajamii

Nawashukuru wanajamii wote kw upendo wa dhati najsikia faraja kw jinsi mlivyonikaribisha,na mnisamehe kw kuchelewa kuwashukuru huku mashambani kwetu kila kitu kinachakachuliwa hata umeme unachakachuliwa ndomana sikuwa hewani.Asanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom