Ponjoro namba moja
Member
- Jun 5, 2025
- 5
- 8
Wana JF
Mimi Ponjoro Namba moja nipo ukumbini.
Nikaribisheni tafadhali
Mimi Ponjoro Namba moja nipo ukumbini.
Nikaribisheni tafadhali
Aaaahhhh ponjoro Moko.Wana JF
Mimi Ponjoro Namba moja nipo ukumbini.
Nikaribisheni tafadhali
Ponjoro ya wapi dugu?Wana JF
Mimi Ponjoro Namba moja nipo ukumbini.
Nikaribisheni tafadhali
Inabidi ajifunze kwetu huyu Ponjoro mgeniKaribu sana Ponjoro, wenzio Ponjoro wa Kinondoni na Ponjoro watakupa utaratibu wa Jukwaani
Mimi iko Ponjoro nambari moja, tafuna sana tambuu!Ponjoro ya wapi dugu?
Shushia na shisha dugu.Mimi iko Ponjoro nambari moja, tafuna sana tambuu!
Karibu sana mgeni mwenyeji.. Usiniulize nimejuaje...😀Wana JF
Mimi Ponjoro Namba moja nipo ukumbini.
Nikaribisheni tafadhali
😀😀😀Anataka ponjoro WA Jamii ForumKaribu sana Ponjoro, wenzio Ponjoro wa Kinondoni na Ponjoro watakupa utaratibu wa Jukwaani
Ponjoro ni toleo la mwisho
Na linabamba mbaya.Ponjoro ni toleo la mwisho
Gwajima ndio kalifufua😂Na linabamba mbaya.
Ahsante kwa kunielewesha mkuu.Ponjoro ni toleo la mwisho
Veve ni mimi iko na Kanjibai, rfiki.
veve nalo ni ulevi pia au hujui hilo?Veve ni mimi iko na Kanjibai, rfiki.
Vote tafuna tambuu