sir joshua JF-Expert Member May 21, 2013 479 176 Jul 3, 2013 #1 Naomba kukaribishwa humu jamvini kwan huko nilipotoka hapakua class yangu ila humu nahc nimefka,naomben ushirika mwema nanyi wana jamvi,natangulza shukran.
Naomba kukaribishwa humu jamvini kwan huko nilipotoka hapakua class yangu ila humu nahc nimefka,naomben ushirika mwema nanyi wana jamvi,natangulza shukran.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Jul 3, 2013 #3 Karibu sana. Jaribu kupitia huku kwanza. jamiiforums.com/rules.php
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,119 10,757 Jul 4, 2013 #5 Karibu sana JF mjukuu,kinywaji???