Habari zenu wakuu,
mimi ni mwanachama mpya wa jf,japo ni msomaji mzuri tu wa comment za watu bila kuwa mwanachama rasmi.JF imekuwa mtandao wangu bora wa kijamii tangu kitambo sana.Mnipokee na kunikaribisha.
Asante,Jumapili njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.