Mkwakwasu75
New Member
- Oct 29, 2012
- 3
- 0
Baada ya kuzunguka maeneo mbali mbali,Nimeona hapa ndiyo mahali ambapo naweza kukutana na jamii na kujisikia na mimi nipo kwenye hii globe yetu.Hivyo babisha hodi waheshimiwa.
baada ya kusoma jamii forum na kupata mafunzo na ushauri mwingi nimeona hapa panafaa sana. Nikaribisheni.