Hodi hodi Tunduru

Insha'allah, mwisho wa mwezi huu nitakuwa Tunduru kwa wiki moja moja Kati ya tarehe 23 hadi 30.

Hoteli ipi nzuri ya kufikia? Viwanja?

Vipi kuhusu utalii wa ndani? Nipeni kuhusu ABC zake.

With much thanks in advance
Nilipita tu na basi, ni kamji filani kamekucha.
Ukishuka mtwara napo sio haba pisi za kucheua zipo kama unatalii vyote.
 
Nilipita tu na basi, ni kamji filani kamekucha.
Ukishuka mtwara napo sio haba pisi za kucheua zipo kama unatalii vyote.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…