IPO mambo mazuri hotel 70 elfu ubaoni usiku MMOJA, zipo lodge Kali hazihesabiki za 20, 15, kuhusu viwanja vikali kuna laplasido apo ni pakali Sana,kuna terminal pub IPO stand NI Kali Sana pia, kuna camp David Napo NI pakali pia IPO osdeda NI kiwanja na lodge Kali hapo hapo, kama Una maswali mengine karibu Sana kiongozi.