Y Young Philosopher Member Joined Apr 10, 2012 Posts 34 Reaction score 3 Apr 10, 2012 #1 Enyi wana JF. naja jukwaani na yangu machache ili kuzitafakari mada mbalimbali. Wote wenye fikra pevu nikaribisheni kwa uchache wa wivu, wepesi wa chuki, wingi wa upendo na uzito wa furaha ili tui-enjoy dunia ya mola yenye Asali na Pilipili.
Enyi wana JF. naja jukwaani na yangu machache ili kuzitafakari mada mbalimbali. Wote wenye fikra pevu nikaribisheni kwa uchache wa wivu, wepesi wa chuki, wingi wa upendo na uzito wa furaha ili tui-enjoy dunia ya mola yenye Asali na Pilipili.
Z Zabron Erasto Member Joined May 29, 2011 Posts 47 Reaction score 3 Apr 10, 2012 #2 Karibu sana dogo hapa kuna asali nyingi na pilipili kiduuuchu. Hihihihiiii...hahahahahahahaaaaa!..tehetehetehetehee!!
Karibu sana dogo hapa kuna asali nyingi na pilipili kiduuuchu. Hihihihiiii...hahahahahahahaaaaa!..tehetehetehetehee!!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Apr 11, 2012 #3 Karibu sana JF.