Sis wa ukweli Member Joined Feb 17, 2011 Posts 21 Reaction score 2 Feb 17, 2011 #1 Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko. Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu. Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani
Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko. Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu. Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani
B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 17, 2011 #2 karibu ila subiri kidogo wenyewe awapo wengine hayo mabomu yame wakimbiza hadi jamvini ila usiofu sis wa ukweli///
karibu ila subiri kidogo wenyewe awapo wengine hayo mabomu yame wakimbiza hadi jamvini ila usiofu sis wa ukweli///
Sis wa ukweli Member Joined Feb 17, 2011 Posts 21 Reaction score 2 Feb 17, 2011 Thread starter #3 bakarikazinja said: karibu ila subiri kidogo wenyewe awapo wengine hayo mabomu yame wakimbiza hadi jamvini ila usiofu sis wa ukweli/// Click to expand... Asante! Nashukuru wewe kuwa wa kwanza kunikaribisha, Wengine wame ni PM.
bakarikazinja said: karibu ila subiri kidogo wenyewe awapo wengine hayo mabomu yame wakimbiza hadi jamvini ila usiofu sis wa ukweli/// Click to expand... Asante! Nashukuru wewe kuwa wa kwanza kunikaribisha, Wengine wame ni PM.
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Feb 17, 2011 #4 Hee tushakuwa wakimbizi tena, haya watu wa masaki... ila kumbukeni Ngome iko karibu na kwenyewe kuna vitu vilivyo expire!!!!!:coffee: By the way karibu!!!!
Hee tushakuwa wakimbizi tena, haya watu wa masaki... ila kumbukeni Ngome iko karibu na kwenyewe kuna vitu vilivyo expire!!!!!:coffee: By the way karibu!!!!
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Feb 17, 2011 #5 karibu sana ingawa napata hisia wewe ni mwenyeji sana humu humu jamvini
Sis wa ukweli Member Joined Feb 17, 2011 Posts 21 Reaction score 2 Feb 17, 2011 Thread starter #6 semango said: karibu sana ingawa napata hisia wewe ni mwenyeji sana humu humu jamvini Click to expand... Nilikuwa siyo member ila nilikuwa napita pita mara kwa mara.
semango said: karibu sana ingawa napata hisia wewe ni mwenyeji sana humu humu jamvini Click to expand... Nilikuwa siyo member ila nilikuwa napita pita mara kwa mara.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Feb 17, 2011 #7 Karibu sana.
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Feb 19, 2011 #9 Karibu
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,244 Feb 21, 2011 #10 Sis wa ukweli said: Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko. Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu. Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani Click to expand... Karibu Mupenzi.
Sis wa ukweli said: Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko. Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu. Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani Click to expand... Karibu Mupenzi.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Feb 21, 2011 #11 Karibu sana!!