Hodi hodi pamoja na kuomba kazi

MKULIMABORA

New Member
Jan 5, 2012
1
0
Jamani mimi nimara ya kwanza kujiunga humu ndani naomba mnipokee kwa mikono miwili!

Vile vile niko hapa pia kutafuta kazi maana najua penye wengi hapaharibiki kitu, nimehitimu shahada ya kilimo chuo cha kilimo cha sokoine kwa ukweli nimeiva haswa ktk fani ya kilimo.
Good luck
 
Karibu Yakhe!! hapa inabidi unachokipata uchanganye na akili zako ndo upate jibu!!......
 
Back
Top Bottom