Hodi hodi naingia...

Karibu sana , mama pretty


Embu unisaidie hapa ..

Wewe ni mwanamke huna mtoto lkn ni pretty??

Wewe ni Mwanamke ambaye ni Mama lkn uko pretty?


Wewe ni mwanamke ambaye ni mama mwenye mtoto aitwaye Pretty?.


Wewe ni mwanamke ambaye ni mama mwenye Binti ambaye ni Pretty??.




Sent using Jamii Forums mobile app

Yote majibu hapo .. mama pretty 😁😁
 
Yote majibu hapo .. mama pretty
Tia gundi ya mbao hapa !!.
Hahahahahah aaahh bana sio poa ujue , utafanya nikuzamie Inbobo...

Maana akili yangu muda si mrefu inaenda Kuamini kua

wewe ni mwanamke huna mtoto lkn ni Pretty

au

iamini kua wewe ni mwanamke ambaye ni mama lkn uko pretty....sasa hapa wahenga wakasema "Ng'ombe hazeeki maini"



Uko poa lkn?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah aaahh bana sio poa ujue , utafanya nikuzamie Inbobo...

Maana akili yangu muda si mrefu inaenda Kuamini kua

wewe ni mwanamke huna mtoto lkn ni Pretty

au

iamini kua wewe ni mwanamke ambaye ni mama lkn uko pretty....sasa hapa wahenga wakasema "Ng'ombe hazeeki maini"



Uko poa lkn?.

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂 kumbe watu ndo wanakaribishwa hivi humu.. ebu niacheni na nnawajua wote humu msnione mgeni mkafikiri jf nmeijua leo😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hahahhaha jamaan Mwanamke pretty , hata majumban kwetu ,mgeni hukaribishwa kwa moyo mkunjufu na na wenye uvuguuvugu.

Huon mzeee wa kaya toka ahamie chattle kaaa mweusi, sababu chattle hamna ujotojoto wa wagen?.
kumbe watu ndo wanakaribishwa hivi humu.. ebu niacheni na nnawajua wote humu msnione mgeni mkafikiri jf nmeijua leo
Hata ivo Mimi kuna MTU kaja speed ohoooo Carlos ,wewe bana ndo Mr.Right nanyota imekuangia wewe..ohoooooo kuna mwanamke uko anakuita !!.

Kumuuliza nani?? Anasema anaitwa Mama pretty .

Ndo sababu nmekuja kwa speed ya hypersonic



Kweli nashukuru nimekukuta ID na Avatar yako vikisadifu kauli ya wazungu isemeyo "Lady you are gorgeous " .. ( kithungu kilinipita pemben ,najuaga maneno ya mahaba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom