Hodi hodi Mwanza

Pita na ibungilo kwao Eiyer!

Then kata kona kwenda kwa amu! Kuleeee igombe! Lols!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Excel mbona kila nikija Nyamwilolelwa unanikwepa?? Next weekend naja kupalilia mihogo ole wako unikimbie.

Na wewe Eiyer hapo Ibungilo huwa unaingia na kutoka saa ngapi make hata kwenye Register na Mwenyekiti wa Kata Mzee Malole haumo.. Wewe ni Mkimbizi.... Hebu kajirejiste ASAP
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaaaaaaaa
Ibugilo ndio mpango mzima,huyu mwenyekiti nina bifu nae
Kuna kadem kamoja hivi alininyang'anya eti kwasababu yeye ni mwenyekiti ,,,,we ngoja tu

Nina mpango wa kujahuko kwenu Igombe,kule ambako unalima mihogo
Nataka kuja kuweka makazi hapo kwa muda,nina ka dili huko

Sijui kama nitapata pa kulala hap kwako ......lol!!!!!!!!!!
 
Mi na mke wangu kipenzi Chocs tunapenda kuwapa salamu za kweli kutoka jijini Mwanza ndani ya Sparow hotel mtaa wa Ghana...kwa raha zetu....!
Wazee wa Rocky City mkipata muda tunawakaribisha walau tupeane salamu!
Kesho ijumaa tutakuwa free kuanzia jioni saa 10....km kuna wajanja wa Level 8 tuonane paleeeee!
 
Last edited by a moderator:
Kwaheri Mwanza nomeondoka kwani mda haukuwa rafiki nikashindwa hivyo nawashukuruni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…