Hodi hodi jamvini

Hodi hodi jamvini

Watakupokea, lakini hawapo kwenye chumba hiki.
 
siku ingine ukienda kwenye nyumba za watu usibague wa kukupokea
kwani umeambiwa hao ulowataja ndio wamiliki peke wa JF?
hata hivo karibu kwashingo upande
Hodi jamvini, naombeni mnipokee, Bujibuji, Mwita 25 na Asha Dii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom