Hodi hodi jamvini bandugu.

Hodi hodi jamvini bandugu.

Mbuga

New Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Nani yupo mlangoni anipokee jamani naja kama simba nauvunja ukimya kama maji mtungini na ugeni wa jukwaa kama mtoto azaliwaye ucku.
 
nipo mlangoni...taratibu uzishike!
 
He! Karibu,ila we ni mshairi nini,maana una mistari hyo noumaa!
 
Back
Top Bottom