Hodi hodi Jamii

Hodi hodi Jamii

Kigali

Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
33
Reaction score
10
Hodi hodi wanajamii.
Mie mwenzenu mgeni, na kama kawaida kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Naombeni ushirikiano wenu humu
Asanteni
 
We mgeni ni balaa umeingia hadi chumbani (MMU) karibu sana mkuu Kigali
 
karibu lakni silaha ulizopewa na kagame ziache ehuko huko mlangoni
sisi ni wapenda amani,hatuna fujo kama rwanda utokako.by the way welikamuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom