Aisee Mamndenyi ahsante kwa New year wishes, uje huku kijijini kwetu umeme ulizingua ikawa tabu tupu hata kutuma new year wishes.... Asprin babu umemuona wapi??
Ha ha haaaa! Mamndenyi, magazeti yataandika hivi..... Babu Asprin sasa akimbia mji kwa madeni, lingine.... Asprin asakwa na wananchi wenye hasira kali, lingine... Babu Asprin akopa na kwenda kurusha roho mabinti Rombo sasa anaishi kwa wasiwasi...