ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Wakuu wote wa jf, kwa heshima na taadhima naomba mnipokeee!!
plse mods, ondoa hyo kitu
mmh...ninahisi harufu ya multiple id's hapa!
mkuu kuna mtu alichukua kiselula changu, so akataka kujoin jf kisir, kumbe me member, haraka yke kajikuta kaingia kwa id yngu, cse nilsevu paswrd,nilgundua baada ya mm kutaka kuingia jf nakuta jina tofaut