Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Aug 18, 2011 #1 Wanajamii wazima na mimi leo nimejiunga baada ya kuchungulia kwa muda mrefu natumaini tutasadiana katika mchango ya kujenga Taifa
Wanajamii wazima na mimi leo nimejiunga baada ya kuchungulia kwa muda mrefu natumaini tutasadiana katika mchango ya kujenga Taifa
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Aug 18, 2011 #2 Karibu sana jamvini, pita moja kwa moja mpaka jukwaa la siasa. Mkaanze mapambano!
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Aug 18, 2011 #4 Karibu...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,799 Aug 19, 2011 #5 Karibu sana jamvini mkuu.
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 19, 2011 #6 karibu.
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,710 Aug 19, 2011 #7 Lakini wewe ni mgeni au mwenyeji ulieamua kutoka kivingine?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Aug 19, 2011 #8 karibu sana ndugu yetu
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Aug 19, 2011 #9 karibu sana mkuu..............kua makini na jasiri usije kata tamaa mapema