mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,201
- 75,157
kuna field niliambia networks na database ndo zina soko sana huku tz....Kesho na prac ya Network hahah ili somo nalikubali ila halishindi Database na programming
Web nayo imekaa kikuda coz lecture anatoa kazi mpaka mbupu inasinyaaa
Offcoz mambo ya entrepreneurship na communication skills wanatujazia memory burekuna field niliambia networks na database ndo zina soko sana huku tz....
Tumia pythonNitatumia php kuelezea
Utacheka na nafsi yako 😅wale tunaosoma kozi zenye programming ila hatujui kitu tunyooshe mikono....✋
we si genius unafumua gpa hizo...Utacheka na nafsi yako 😅
Humohumo mbona mi sidhani kama nitaenda degreeeniwei, mi bado diploma safari ni ndefu....
maisha yatatugonga.... nikiangalia mbele naona gizaHumohumo mbona mi sidhani kama nitaenda degree
Hahaha, kawaida tu sio sana😎😎we si genius unafumua gpa hizo...
bora zako, nikiweka zangu hapa mtakimbia....Hahaha, kawaida tu sio sana😎😎View attachment 2625671
Embu tuonepo kidogo, diploma unafelije sasa mkuu,bora zako, nikiweka zangu hapa mtakimbia....
watu hatusomi bro tunakaa hovyohovyoEmbu tuonepo kidogo, diploma unafelije sasa mkuu,
🤣🤣 Acha hizo
Utapata tabu sana, ww unashinda jf tuwatu hatusomi bro tunakaa hovyohovyo
BEFORE HUJA ANZA ELEWA KWANZA UNAFANYA CODE ILI UPATE NINI KAMA OUTCOME
nikimaliza sirudi tena chuo, napambania tu hapa ku=balance pa ya 3Utapata tabu sana, ww unashinda jf tu
🤣🤣🤣 Kuwa na kiasi,
Sawasawa 👍nikimaliza sirudi tena chuo, napambania tu hapa ku=balance pa ya 3
Hapan soma pythonHivi ni lazima kusoma hizo language zote? Je language moja pekee e.g python haitoshi kufanya vyote?
Umesahau mobile appHapan soma python
Inafanya
Web
Desktop app na data science
etc
Sio officially saanaUmesahau mobile app