claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 317
- 480
Sawa uzi bado ujaishaTuwekee projects zako hapa itakuwa vizuri zaidi. Pia kama unatengeneza software nadhani ni vizuri ujiite developer na sio programmer
ulimaanisha Dart eehflutter
Enheeeeulimaanisha Dart eeh
Asante saanaKaribu sana...
Watu kama nyie hamkosekani na nimeweka hapo kwa makusudiHivi mysql ni language gani programmer ?
Hii si SQL mkuu mbon unakua hivyo inatumika kwenye maswala ya kuunda database kwa wale back-end programmers,Hivi mysql ni language gani programmer ?
Mysql ni relational database management Meiweka hapo maana inatumika Sana. Alafu nimesema uzi bado haujaisha.Hivi mysql ni language gani programmer ?
Upo sahihiHii si SQL mkuu mbon unakua hivyo inatumika kwenye maswala ya kuunda database kwa wale back-end programmers,
Mwambie hio ni system inaitwa RDBMS na language inayotumika ni SQL tulia hivyo masterMysql ni relational database management Meiweka hapo maana inatumika Sana. Alafu nimesema uzi bado haujaisha.
Asante kipenzi, πππ
Mzuri Hadi udenda unanitoka asee, Jf Bwana Mimi napenda back-end Languages like Node.js ni JavaScript web development, Python hapa natumia framework km Flask na Django, PHP (baba lao), Java km Java, Ruby na C#