Hodi Hodi Dodoma!

Hodi Hodi Dodoma!

Wakuu wa Jiji hili la makao makuu ya nchi mpoo??
Nasubiri return zeni po katika Jiji lenu napatika mtaani nasubiri mwaliko!

Karibu sana mkuu sisi huku hakuna tabu kabisa. Unaona mvua ya kistaarabu ndo inaanza kunyesha. Karibu sana.
 
Krbu sn ila vp mbunge mpya tukikaribishana kutakuwa na mgao wa ile per diem iliyonona?maana hamchelewi kusingizia per diem ya kwanza inaenda kwa wazazi
 
Krbu sn ila vp mbunge mpya tukikaribishana kutakuwa na mgao wa ile per diem iliyonona?maana hamchelewi kusingizia per diem ya kwanza inaenda kwa wazazi

Swtlady upo hapa dom. Sasa tutafutane weekend
 
Ehe sasa baada ya kukaribisha mgeni mnakaribishana wenyewe kwa wenyewe! swtlady mbina hamnitendei haki??

Usiogope mgeni huyu SaaMbovu sidhani kama anapatikana jna tu linaonesha yuko busy sana.mgeni karibu jibu hoja yangu hapo juu nichangamkie fursa
 
Last edited by a moderator:
Usiogope mgeni huyu SaaMbovu sidhani kama anapatikana jna tu linaonesha yuko busy sana.mgeni karibu jibu hoja yangu hapo juu nichangamkie fursa

Teh teh. Nipo busy kweli ndo maana nikasema wknd. Huyo KakaKiiza tayari umempa sababu hiyo per dm kwa wazazi.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh. Nipo busy kweli ndo maana nikasema wknd. Huyo KakaKiiza tayari umempa sababu hiyo per dm kwa wazazi.

Heee ndio maana kapotea jumla?au keshapata mwenyeji? KakaKiiza njoo bwana mi nilikuwa natania tu hakuna makato yoyote kwenye ile 700,000/-
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom