JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
mi nikajua utakuwa umeshahama mkuu
ahame aende wapi tena?mi nikajua utakuwa umeshahama mkuu
ahame aende wapi tena?
welcome back.... binafsi nilikukumbuka
Karibu tena...ila ni kama uliaga kuwa utarudi mwezi March, imekuaje?
Hua napita pita tu hapa... Mchana mwema!
bahati wapi sema tu addiction....Teh teh teh... Kumbe unakumbuka.... Imekuwa bahati nimewahi mkuu... 10days earlier
Karibu... ila nina tatizo moja mwenye kiti. Pale nilipoitunza ID yangu ya CCB nimekuta panya kaitoboa toboa... Hata haisomeki tena. unaweza kunitumia tena???
huyo madame huyo... Wacha nisiseme xana
Karibu... ila nina tatizo moja mwenye kiti. Pale nilipoitunza ID yangu ya CCB nimekuta panya kaitoboa toboa... Hata haisomeki tena. unaweza kunitumia tena???