HODI chit chat

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
29,532
Reaction score
42,697
Nimependa na nimevutiwa na jukwaa hili....

naomba mnikaribishe kama mwanajumuiya mwenzenu...

Mi ni mwanasiasa but inahitaji muda wa kutuliza akili pia....

Nawapenda wote naomba mnikubali niwe mmoja wa wanafamilia wenu....

Thanks in advance! !!
 
Na ile kazi ya kuhubiri umeacha?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Umependa/umevutiwa!
Haya , ngoja wakukadirie mahari .
 
Karibu sana,huku ni stress free karibu kiti uketi,sijui huwa unatumia kinywaji gani?
 
Ndio mwanasihasa lusungo, wewe wakike au wakiume ....?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…